Benutzerdefinierte Suche

Category Archives: Swahili – Videos

Mombasa mystery death

Moi Avenue

Wakazi wa eneo la pembeni mjini Mombasa asubuhi ya leo walipigwa na mshtuko pale walipopata jamaa mmoja mwendesha teksi amekufa ndani ya gari lake. Polisi waliofika kukagua mwili huo hawakupata chochote ambacho kingaliashiria sababu ya kifo chake. Kisa hicho kilifanyika katika barabara kuu ya Moi Avenue eneo la pembeni.

Google BookmarksShare

Al Shabaab war update-Swahili

Google BookmarksShare

Alcohol deaths in ruiru – Swahili

siku moja tu baada ya watu kumi na saba kufariki huko nyahururu baada ya kunywa pombe aina ya yokozuna, watu wengine saba wamefariki katika eneo la ruiru gatabaya baada ya kunywa pombe hiyo haramu.
 

Google BookmarksShare

Serikali Za Kaunti part 2 Swahili

Katika muundo mpya wa serikali za Kaunti, asilimia 15 ya mapato ya nchi yatatengewa shughuli za kaunti.

Google BookmarksShare

Serikali Za Kaunti part 3 Swahili

Mojawapo ya matumaini ya wakenya kwa sheria mpya nchini ilikuwa ni kuweka vizingiti kwa waliokuwa wamezoa kuwapora wakenya kwa njia ya ufisadi.

Google BookmarksShare
Powered by WordPress | Designed by: suv | Thanks to trucks, infiniti suv and toyota suv

Condor