Benutzerdefinierte Suche

Alcohol deaths in ruiru – Swahili

siku moja tu baada ya watu kumi na saba kufariki huko nyahururu baada ya kunywa pombe aina ya yokozuna, watu wengine saba wamefariki katika eneo la ruiru gatabaya baada ya kunywa pombe hiyo haramu.
 

 

Vifo hivi vya kutatanisha vinaashiria kwamba kuna haja ya wadau kushughulikia swala la unywaji wa pombe haramu ili kusitisha maafa zaidi. Wakati huo huo mwanaharakati mmoja anayeshughulikia maswala ya matumizi ya pombe na mihadarati alisema kuwa kuna haja ya kudhibiti sheria za mututho na kuzipa uwezo kamilifu wa kukabiliana na unywaji wa pombe haramu kiholela

Google BookmarksShare

Related posts:

  1. Chovya Chovya la Uzazi (1/3)
  2. Chovya Chovya la Uzazi (2/3)
  3. Muslim scholars on drugs – Swahili
  4. MPs meet in Naivasha – Swahili
  5. Drought in the horn of Africa – Swahili

Hinterlasse eine Antwort

Deine E-Mail-Adresse wird nicht veröffentlicht. Erforderliche Felder sind markiert *

*

Du kannst folgende HTML-Tags benutzen: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong> <font color="" face="" size=""> <span style="">

 
Powered by WordPress | Designed by: suv | Thanks to trucks, infiniti suv and toyota suv

Destiantion Banner Dubai 728x90